Africa News Tribune

Latest Breaking News, Daily News and Hot News in Africa. African Politics, African Business, African Sports, Health and Technology ON!

Africa News

Good News: Waziri Mwakyembe na Joseph Kusaga wazindua mashindano makubwa ‘East Africa Got Talent’

Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe amezindua mashindano makubwa ya vipaji ya East Africa Got Talent ambayo yanatarajiwa kufanyika katika nchi 4, ikiwemo Tanzania ambapo mashindano hayo yatasimamiwa na Kituo cha Clouds Media Group katika nchi hizo nne chini ya Mkurugenzi Joseph Kusaga.

Original of the video here

Africa News
Africa Political News
Africa Business News
Africa Sport News
Africa ShowBiz News

Back to home page

LEAVE A RESPONSE

Your email address will not be published. Required fields are marked *